Mashine zote Simba zimerejea, habari ziwafikie...

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
16 Jul 2018
Mashine zote Simba zimerejea, habari ziwafikie...
Kikosi cha Simba kinatarajiwa kuanza mazoezi kesho kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya pamoja na michuano ya ligi ya mabingwa itakayoanza mwezi Novemba.

Baada ya kukamilika kwa kombe la Kagame, Kaimu Kocha Mkuu wa Simba Masudi Djuma aliwapa wachezaji mapumziko ya siku nne kabla ya kurejea kuanza maandalizi hayo.

Wachezaji wote, walioshiriki na waliokosa michuano ya Kagame wanatarajiwa kuanza mazoezi pamoja kwenye uwanja wa Boko Veterans jijini Dar es salaam.

Mwishoni mwa wiki hii kikosi cha Simba kinatarajiwa kwenda nchini Uturuki kuweka kambi ya siku 18.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
3h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
9h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
12h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’