Simba kwenda Uturuki Ijumaa

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
16 Jul 2018
Simba kwenda Uturuki Ijumaa
Baada ya kumalizika kwa michuano ya kombe la Kagame, kikosi cha Simba kinatarajiwa kuondoka wiki hii kwenda nchini Uturuki kuweka kambi ya siku 18 imefahamika.

Kikosi cha Simba kitakachokwenda Uturuki kitahusisha wachezaji wote ikiwa pamoja na wale ambao hawajashiriki michuano ya kombe la Kagame.

Nahodha John Bocco, Emanuel Okwi, Jonas Mkude, Asante Kwasi, Yusuph Mlipili, Aishi Manula, Shiza Kichuya, Erasto Nyoni na Haruna Niyonzima ni miongoni mwa wachezaji ambao hawakuwemo katika kikosi kilichocheza Kagame Cup.

"Tuko kwenye hatua za mwisho kabisa kukamilisha mahitaji ya safari hiyo," amesema mmoja wa viongozi wa Simba ambaye hakutaka jina lake liwekwe hadharani.

Baada ya kambi hiyo Simba itarejea nchini kwa ajili ya SIMBA DAY kabla ya kujiandaa na mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Mtibwa Sugar utakaopigwa siku chache kabla ya kuanza msimu mpya wa ligi kuu ya Vodacom
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
3h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
9h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
12h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’