Kiyovu yadai bado ina mkataba na Kakule

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
12 Jul 2018
Kiyovu yadai bado ina mkataba na Kakule
Nahodha wa Kiyovu Sports ya Rwanda Fabrice Kakule yuko nchini akiwa mbioni kukamilisha usajili katika kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara, Simba.

Kakule amekuwa akifanya mazoezi na kikosi cha Simba tangu mwanzoni mwa wiki hii ikielezwa kiungo huyo fundi atasajiliwa

Uongozi wa klabu ya Kiyovu umeibuka na kudai kuwa bado mchezaji huyo wana mkataba nae wa mwaka mmoja hivyo kitendo kinachofanywa na Simba ni kinyume na kanuni za usajili za FIFA.

Rais wa Kiyovu Jean Pierre amewaita mezani mabosi wa usajili wa Simba ili wamalizane 'kwa amani' kinyume na hivyo ametishia kwenda kushitaki FIFA kwa kuwa tayari Kakule ameonekana katika kikosi cha Simba bila ya kupewa ruhusa na timu yake.

Juzi Kaimu Kocha Mkuu wa Simba Masudi Djuma alikiri kuwa na mchezaji huyo kwenye kikosi chake akibainisha kuwa kiungo huyo hakuja kufanya majaribio kwa kuwa anafahamu uwezo wake, anasubiri kusajiliwa.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
4h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
10h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
13h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’