Mseja kutolewa kwa mkopo Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
11 Jul 2018
Mseja kutolewa kwa mkopo Simba
Mlinda lango Emanuel Mseja hatarajiwi kuwa sehemu ya kikosi cha Simba msimu ujao baada ya usajili wa Degratius Munishi 'Dida'.

Kaimu Kocha Mkuu wa Simba Masudi Djuma amesema Mseja ambaye bado ana mkataba wa mwaka mmoja na klabu ya Simba ni miongoni mwa wachezaji watakaotolewa kwa mkopo.

Mseja aliitumikia Simba kwenye michuano ya kombe la mapinduzi pekee msimu uliopita.

Simba ya msimu ujao inatarajiwa kuwa na walinda mlango watatu ambao ni Aishi Manula, Said Mohammed 'Nduda' na Degratius Munishi 'Dida'.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
3h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
9h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
12h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’