Baada ya kukamilika kwa michezo ya robo fainali ya michuano ya kombe la Kagame, michuano hiyo imeingia kwenye hatua ya nusu fainali ambapo michezo ya hatua hiyo itapigwa leo Jumatano, Julai 11 2018.
Mchezo wa kwanza ni kati ya mabingwa watetezi Azam FC dhidi ya Gor Mahia unaotarajiwa kupigwa saa nane mchana kisha kufuatiwa na mchezo wa kati ya mabingwa wa Tanzania Bara, Simba dhidi ya JKU.

ADVERTISE HERE