Mcongo Kakule Mugheni Fabrice jana alifanya mazoezi na kikosi cha Simba kinachojiandaa na mchezo wa nusu fainali kombe la Kagame.
Simba itacheza na JKU kesho.
Ujio wa Kakule umefanikishwa na Kaimu Kocha Mkuu wa timu hiyo Masudi Djuma. Kiungo huyo ametua akitokea klabu ya Kiyovu ya Rwanda.
Kakule mwenye uwezo mkubwa wa kukaba huenda akasajiliwa na Simba.

ADVERTISE HERE