Simba kucheza na JKU nusu fainali kombe la Kagame

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
10 Jul 2018
Simba kucheza na JKU nusu fainali kombe la Kagame
JKU imefanikiwa kutinga nusu fainali ya kombe la Kagame kwa mikwaju ya penati 4-3 baada ya matokeo suluhu ya bila kufungana dhidi ya Singida United.

JKU sasa itacheza na Simba kwenye mchezo wa nusu fainali huku Azam FC ikikabiliana na Gor Mahia katika hatua hiyo.

Mapema Azam FC iliilaza Rayon Sports mabao 4-2 na kufanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali.

Michezo ya nusu fainali itapigwa kesho Jumatano kwenye uwanja wa Taifa
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
9h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
15h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
18h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
21h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’