Majeraha kumuweka nje Salamba michezo iliyobaki Kagame Cup

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
9 Jul 2018
Majeraha kumuweka nje Salamba michezo iliyobaki Kagame Cup
Straika wa Simba, Adam Salamba ambaye amefunga mabao matatu katika mashindano ya Kombe la Kagame huenda akakosa michezo iliyobaki ya michuano hiyo baada ya kuumia jana.

Salamba aliumia kwenye mchezo wa robo fainali dhidi ya AS Ports.

Jana baada ya mchezo kumalizika Salamba alitoka uwanjani kwa msaada wa madaktari wa Simba kwani hakuweza kutembea vizuri.

"Nimechanika nyama za paja na nipo hospitali naendelea na matibabu bado sijapata ruhusa kwamba naweza kucheza mechi ya nusu fainali au sitacheza,"

"Mimi mwenyewe hali ya mguu wangu naiona bado haijakaa sawa kwani bado nasikia maumivu hata kutembea napata shida," amesema Salamba.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
2h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
5h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
23h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’