Baada ya hapo jana vilabu vya Gor Mahia na Simba kutinga nusu fainali, michuano ya kombe la Kagame inaendelea leo kwa michezo miwili ya robo fainali kupigwa.
Saa 10 jioni Azam FC itashuka kwenye uwanja wa Taifa kuikabili Rayon Sports wakati saa moja jioni Singida United itaikabili JKU.

Michuano hiyo iliyoanza Juni 29 itafikia tamati Ijumaa ijayo Julai 13, 2018.

ADVERTISE HERE