Gor Mahia iko tayari kumuuza Kahata Simba, lakini sio sasa

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
•
9 Jul 2018
Gor Mahia iko tayari kumuuza Kahata Simba, lakini sio sasa
Uongozi wa klabu ya Gor Mahia uko tayari kumuuza kiungo wake tegemeo Francis Kahata kwa klabu ya Simba lakini sio sasa.

Gor Mahia inayoshiriki michuano ya kombe la Shirikisho ikiwa kundi moja na Yanga, Rayon Sports na USM Alger, imedai wakati huu inamuhitaji Kahata ili kuweza kufanya vizuri kwenye michuano hiyo.

Lakini wamedai wako tayari kumuachia mchezaji huyo mwezi wa 12.

Kahata amekuwa katika kiwango bora kilichowavutia viongozi wa Simba ambao tayari wamemsajili Meddie Kagere aliyemaliza mkataba kwenye klabu ya Gor Mahia.

"Juhudi zetu na kumsajili Ka­hata bado tunaendelea nazo lakini Gor Mahia wamekuwa wagumu sana kumwachia na wametuambia kuwa bado wa­nahitaji huduma yake katika michuano ya kimataifa.

"Wametuambia kuwa kama tunamtaka kweli basi wao watamwachia mwezi Desemba mwaka huu, lakini kwa sasa itakuwa ni ngumu," gazeti la Championi limemnukuu mmoja wa viongozi wa Simba.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Matchday; Fountain Gate vs Simba, NBC PL
Matchday; Fountain Gate vs Simba, NBC PL
13m ago
READ MORE →
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
3h ago
READ MORE →
Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
17h ago
READ MORE →
Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
18h ago
READ MORE →
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
18h ago
READ MORE →
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
21h ago
READ MORE →
Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
23h ago
READ MORE →
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE →
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
1d ago
READ MORE →
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
1d ago
READ MORE →