Djuma kumjaribu kiungo Mcongo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
9 Jul 2018
Djuma kumjaribu kiungo Mcongo
Fabrice Kakule kiungo mkabaji mwenye asili ya Congo kutoka klabu ya Kiyovu FC ya Rwanda amewasili nchini na amejiunga na klabu ya Simba kwa majaribio.

Ujio wa kiungo huyo ni pendekezo la kocha Djuma anayetaka kuimarisha safu ya kiungo ya Simba.

Imeelezwa kabla ya kupewa mkataba, kiungo huyo atajaribiwa ili kujiridhisha na uwezo wake.

Wakati kiungo huyo akiwa tayari ametua nchini, Simba pia inahusishwa na kiungo wa Gor Mahia Francis Kahata na Hassani Dilunga wa Ntibwa Sugar.

Ujio wa viungo hao utaongeza ushindani kwa viungo wa Simba wa sasa Jonas Mkude, James Kotei, Haruna Niyonzima, Said Ndemla, Mzamiru Yassini na Mwinyi Kazimoto.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
3h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
9h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
12h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’