Baada ya kusubiri kwa miaka 28, Uingereza imefanikiwa kutinga nusu fainali ya michuano ya kombe la dunia inayoendelea nchini Urusi baada ya kuilaza Sweden mabao 2-0.
Uingereza imefikia matarajio ya wengi kwa kupata ushindi waliostahili katika mchezo ambao waliutawala kwa muda mwingi.
Mabao ya Harry Maguire na Dele Alli yemeipa Uingereza ushindi muhimu ambao umewahakikishia kubaki nchini Urusi hadi Julai 14.
Uingereza sasa itachuana na Croatia kwenye mchezo wa nusu fainali baada Croatia kutinga hatua hiyo kwa ushindi wa mikwaju ya penati 4-3 baada ya kutoka sare ya mabao 2-2 dhidi ya Urusi
Uingereza ina nafasi kubwa ya kucheza fainali ya michuano hiyo.

ADVERTISE HERE