Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara, Simba leo asubuhi kimeendelea na mazoezi kwenye uwanja wa Boko Veterans kujiandaa na mchezo wa robo fainali kombe la Kagame dhidi ya AS Ports.
Mchezo huo utapigwa kesho Jumapili, Julai 08 kwenye uwanja wa Taifa ukitarajiwa kuanza saa moja kamili jioni.
Mazoezi hayo yameongoza na Kaimu Kocha Mkuu wa Simba Masudi Djuma.
Kuelekea mchezo wa kesho, Djuma amesema amekiandaa kikosi chake kikamilifu kuhakikisha kinaibuka na ushindi ili kuweza kutinga nusu fainali ya michuano hiyo.

ADVERTISE HERE