Simba yaingia sokoni kusaka beki

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
7 Jul 2018
Simba yaingia sokoni kusaka beki
Michuano ya kombe la Kagame inayoendelea jijini Dar es salaam imewagutusha mabosi wa Simba ambao wamepanga kuingia sokoni kusaka beki mahiri wa kati ili kuimarisha safu ya ulinzi ya timu hiyo.

Licha ya kutua kwa Paschal Serge Wawa, beki huyo bado hajaonyesha kiwngo kilichotarajiwa na wengi hivyo kuibua hofu kwa safu ya ulinzi ya Simba hasa ikizangiwa tayari mabingwa hao wa Tanzania Bara wameshaachana na beki Mganda Juuko Murshidi.

Simba itaiwakilisha Tanzania Bara kwenye michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika, michuano inayotarajiwa kuanza mwishoni mwa mwaka huu.

Usajili unaofanywa na timu hiyo wakati huu unalenga zaidi michuano hiyo ambayo inahitaji wachezaji wenye uzoefu na viwango vya hali ya juu.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
3h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
9h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
12h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’