Michezo miwili ya robo fainali kombe la Kagame inapigwa kesho Jumapili, Julai 08 ambapo mabingwa wa Tanzania Bara, Simba watashuka kwenye uwanja wa Taifa saa moja jioni kuikabili AS Ports ya Djibout.
Mchezo wa mapema, saa kumi jioni itakuwa kati ya Gor Mahia ya Kenya dhidi ya Vipers ya Uganda.
Michezo hiyo hatua ya robo fainali itaendelea Jumatatu, Julai 09 ambapo saa 10 jioni Azam FC itacheza na Rayon Sports wakati mchezo wa usiku utakuwa kati ya Singida United dhidi ya JKU

ADVERTISE HERE