Hakuna kama Manula Tanzania kwa sasa

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
30 Oct 2017
Hakuna kama Manula Tanzania kwa sasa
Aishi Manula ndiye mlinda lango bora Tanzania kwa sasa hilo halina ubishi. Juzi Manula amedhidhirisha ubora wake kwa kuinyima Yanga mabao kadhaa.

Katika mchezo huo Manula aliweza kuzuia takribani majaribio matano kutoka kwa wachezaji wa Yanga, mawili yakiwa mashuti makali ya TShishimbi.

Manula pia alicheza mpira uliopigwa na Emanuel Martini akiwa wamebaki nae langoni.

Simba haina budi kujivunia kipa huyu ambaye amekuwa akiifanya kazi yake kwa ufasaha sana.

Juzi mashabiki walimpigia kura kuwa mchezaji bora na hakika amestahili tuzo hiyo inayotolewa na uongozi wa Simba kila mechi baada ya mashabiki kupiga kura.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
9h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
13h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
19h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’