Baada ya kumalizika kwa hatua ya makundi, michuano ya kombe la Kagame inaingia kwenye hatua ya robo fainali ambapo michezo miwili ya kwanza inatarajiwa kupigwa keshokutwa Jumapili, Julai 08 2018.
Siku hiyo mabingwa wa Tanzania Bara, Simba watacheza na AS Sports huku mchezo mwingine ukiwa kati ya Gor Mahia dhidi ya Vipers.
Jumatatu, Julai 09, Azam FC itacheza na Rayons Sports wakati mchezo mwingine utakuwa kati ya Singida United dhidi ya JKU.
Michezo ya nusu fainali itapigwa Jumatano ijayo Julai 11 wakati michezo ya fainali na mshindi wa tatu itapigwa Ijumaa ijayo, Julai 13.

ADVERTISE HERE