Simba yaleta kocha Mbelgiji

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
5 Jul 2018
Simba yaleta kocha Mbelgiji
Klabu ya Simba imeleta kocha mpya raia wa Ubelgiji, Patrick Aussems aliyetua nchini juzi.

Kocha huyo mwenye umri wa miaka 53 alikuwa akifanya kazi nchini Hispania katika klabu ya Marbella United inayoshiriki Segunda B.

Pia amewahi kuzinoa timu mbalimbali barani Afrika ikiwemo AC Leopards ya Kongo pamoja na KSA Yaounde ya Cameroon

Jana alikuwa uwanja wa Taifa akikishuhudia kikosi cha Simba kikichuana na Singida United.

Bado Simba iko kwenye mazungumzo na kocha huyo aliyewahi kucheza ligi kuu ya Ebelgiji kwenye klabu ya Standard Liege.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
4h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
10h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
13h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’