Baada ya sare ya bao 1-1 dhidi ya Yanga, kikosi cha Simba kimerejea mazoezini leo kujiandaa na mchezo wa ligi kuu ya Vodacom mzunguuko wa tisa dhidi ya Mbeya City.
Mchezo huo utapigwa Jumapili ijayo, Novemba 05 ugenini kwenye dimba la Sokoine mkoani Mbeya.
Wachezaji wa Simba walipewa mapumziko ya siku moja baada ya mchezo dhidi ya Yanga juzi.
Simba inakabiliwa na michezo miwili mkoani Mbeya kwani baada ya kuchuana na Mbeya City, itashuka tena katika dimba hilohilo kuumana na Tanzania Prisons Novemba 18

ADVERTISE HERE