Manara akiri Milambo iko vizuri

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
26 Sep 2017
Manara akiri Milambo iko vizuri
Mkuu wa Kitengo cha habari klabu ya Simba Haji Manara ameshangazwa na kiwnago kilichoonyeshwa na klabu ya Milambo ya Tabora kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Simba jana.

Aizungumza baada ya mchezo huo uliuomalizika kwa suluhu ya bila kufungana, Manara amesema klabu hiyo ina wachezaji wenye vipaji na hatashangaa kuiona timu hiyo ikicheza ligi kuu msimu ujao.

Milambo inashiriki ligi daraja la kwanza ambapo inatafuta moja ya nafasi nne za kupanda ligi kuu baada ya miaka mingi.

Baada ya mchezo huo Simba imerejea jijini Mwanza ilikoweka kambi ya kujiandaa na mchezo wa ligi kuu Oktoba 01 dhidi ya Stand United.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
56m ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
7h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
18h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’