Simba yaikamia Singida United

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
4 Jul 2018
Simba yaikamia Singida United
Mabingwa wa soka Tanzania Bara, Simba kesho wanashuka kwenye uwanja wa Taifa kuikabili Singida United katika mchezo wa tatu wa kombe la Kagame kundi C.

Simba inayoongoza kundi C tayari imeshatinga robo fainali ya michuano hiyo baada ya kushinda michezo yake miwili ya kwanza dhidi ya Dakadaha DC (4-0) na APR (2-1).

Singida United nayo tayari imefuzu kwa hatua hiyo hivyo kuufanya mchezo wa kesho uwe wa kulinda heshima

Mchezo huo unatarajiwa kupigwa saa 10 jioni.

Afisa Habari wa Simba Haji Manara amesema timu hiyo imejiandaa kikamilifu kuibuka na ushindi kwenye mchezo huo.

Michezo mingine mitatu itapigwa kesho ambapo saa 10 jioni kwenye dimba la Chamazi, APR itacheza na Dakadaha FC, saa moja jioni Azam FC itacheza na JKU uwanja wa Chamazi na Vipers ikicheza na Kator FC uwanja wa Taifa
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
10m ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
1h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
7h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
19h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’