Maandalizi ya SIMBA DAY yaanza

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
3 Jul 2018
Maandalizi ya SIMBA DAY yaanza
Mabingwa wa soka Tanzania Bara, Simba tayari wameanza maandalizi ya kuelekea siku maalum ya timu hiyo inayofahamika kama SIMBA DAY ambayo hufanyika kila mwaka.

Simba hutumia siku hiyo kufurahi na mashabiki wake pamoja na kutambulisha kikosi chake kwa ajili ya msimu unaofuata.

Mwaka huu SIMBA DAY inatarajiwa kufanyika mapema mwezi wa nane ambapo uongozi wa Simba umesema utatangaza tarehe baadae.

Mkuu wa Idara ya Habari ya Klabu ya Simba Haji Manara amesema kikosi cha Simba kinatarajia kuweka kambi kujiandaa msimu mpya sambamba na siku hiyo baada ya kumalizika kwa michuano ya kombe la Kagame.

Mwaka jana Simba iliweka kambi nchini Afrika Kusini, huenda mwaka huu kambi ikawekwa nchini humo pia.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’