Mlinda lango mpya wa Simba Deogratius Munishi 'Dida' ameachana na ukapera baada ya kufunga ndoa na mpenzi wake wa siku nyingi.
Dida amerejea hivi karibuni kujiunga na Simba akitokea Afrika Kusini alikokuwa akiitumikia timu ya Chuo Kikuu cha Pretoria, Tuks FC.
HONGERA DIDA KWA KUACHANA NA UKAPERA!
Dida amerejea hivi karibuni kujiunga na Simba akitokea Afrika Kusini alikokuwa akiitumikia timu ya Chuo Kikuu cha Pretoria, Tuks FC.
HONGERA DIDA KWA KUACHANA NA UKAPERA!
ADVERTISE HERE