Kwasi arejea mapema kumalizia likizo 'Bongo'

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
2 Jul 2018
Kwasi arejea mapema kumalizia likizo 'Bongo'
Beki kiraka wa Simba, Asante Kwasi amerejea nchini jana Jumapili akitoka kwao Ghana tayari ya maandalizi ya msimu mpya wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuanza Agosti.

Nyota wote wa kikosi cha kwanza wa Simba wamepewa likizo na kila mmoja yupo nchini kwao, lakini Kwasi tayari ameshaingia nchini kwa ajili ya kazi.

"Nimerudi mapema tu hapa Tanzania ili kuendelea na mapumziko yangu, lakini sitajishughulisha na soka hata kidogo maana ndio ninachotakiwa kufanya katika mapumziko yangu haya," alisema Kwasi.

"Nitapumzika lakini kabla ya kuanza maandalizi ya Ligi nitaanza mazoezi yangu binafsi yale ya kukimbia ufukweni na gym kidogo ili nitakapokutana na wenzangu niwe tayari kwa maandalizi," alisema Kwasi.

Wachezaji wengine wa kigeni na wale waliokuwa wanatumika katika kikosi cha kwanza wanatarajia kuanza kuingia hapa nchini baada ya mashindano ya Kombe la Kagame yatakapomalizika Julai 13.

Mwanaspoti
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
1m ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
17h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
23h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’