Simba yaanza kwa kishindo Kagame Cup, yailaza Dakadaha 4-0

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
30 Jun 2018
Simba yaanza kwa kishindo Kagame Cup, yailaza Dakadaha 4-0
Mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba wameanza kwa kishindo michuano ya kombe la Kagame baada ya kuifumua Dakadaha ya Somalia kwa mabao 4-0.

Mabao ya Marcel Kaheza, Adam Salamba aliyefunga mabao mawili na Rashidi Juma yameihakikishia Simba ushindi muhimu uliowapeleka kileleni mwa kundi C.

Wakicheza bila ya wachezaji wao nyota, vijana wa Masudi Djuma walicheza kandanda safi iliyowapoteza wapinzani wao ambao wangeweza kupigwa mabao mengi zaidi.

Simba itashuka tena dimbani keshokutwa, Julai 02 kuikabili APR ya Rwanda.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
2h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
13h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
19h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
22h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’