Utambulisho wa Kagere, Wawa na Dida katika picha

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
29 Jun 2018
Utambulisho wa Kagere, Wawa na Dida katika picha
Jana Simba imetambulisha usajili wa wachezaji watatu Medie Kagere, Paschal Wawa na Deogratius Munishi 'Dida'.

Usajili huo unaifanya Simba iwe imesajili wachezaji sita mpaka sasa tangu dirisha la usajili lilipofunguliwa Juni 15 2018.

Katika utambulisho huo, Mkuu wa Idara ya Habari ya Simba Haji Manara amesema mabingwa hao wa Tanzania Bara bado hawajafunga zoezi la usajili.

"Msimu ujao tunakabiliwa na mashindano sio chini ya sita. Hivyo tunahitaji kuwa na kikosi kipana. Leo tunawatambulisha wachezaji hawa watatu, lakini tunaendelea kusajili," amesema.

"Na kama kawaida kila usajili ukikamilika tutawatangazia, sisi hatusajili kimyakimya kama hao wengine."





ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Kikosi : Fountain Gate vs Simba, NBC PL, Oct 29
Kikosi : Fountain Gate vs Simba, NBC PL, Oct 29
25m ago
READ MORE β†’
Kamati ya uchaguzi Simba imesisitiza, mchakato unaendelea
Kamati ya uchaguzi Simba imesisitiza, mchakato unaendelea
35m ago
READ MORE β†’
Mangungu aibuka, apinga mchakato wa uchaguzi Simba
Mangungu aibuka, apinga mchakato wa uchaguzi Simba
3h ago
READ MORE β†’
Tutapambana tuvuke mtoano - Barker
Tutapambana tuvuke mtoano - Barker
3h ago
READ MORE β†’
Matchday; Fountain Gate vs Simba, NBC PL
Matchday; Fountain Gate vs Simba, NBC PL
6h ago
READ MORE β†’
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
8h ago
READ MORE β†’
Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
1d ago
READ MORE β†’
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
1d ago
READ MORE β†’