Mchezo wa mwisho jana usiku Ubelgiji ilimaliza kinara wa kundi G baada ya kuilaza Uingereza kwa bao 1-0.
Nayo Tunisia ikafanikiwa kupata ushindi wake wa kwanza kwenye michuano hiyo baada ya kuilza Panama mabao 2-1.
Kukamilika kwa hatua ya makundi kunapisha hatua nyingine muhimu zaidi ya mtoano kuelekea robo fainali.
Michezo ya hatua ya mtoano, 16 bora itaanza kupigwa kesho Jumamosi ambapo mchezo wa mapema saa 11 itakuwa kati ya Ufaransa dhidi ya Argentina na kufuatiwa na mchezo mwingine mkali kati ya Uruguay dhidi ya Ureno saa tatu usiku
Ratiba kamili

ADVERTISE HERE