Ndemla aibuka mazoezini Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
28 Jun 2018
Ndemla aibuka mazoezini Simba
Jana kiungo Said Ndemla alihudhuria mazoezi ya kikosi cha Simba kinachojiandaa na michuano ya kombe la Kagame inayotarajiwa kuanza kesho Ijumaa jijini Dar es salaam.

Kumekuwa na sontofahamu juu ya kiungo huyo ambaye inaelezwa bado hajasaini mkataba wa kuendelea kubaki Msimbazi licha ya uongozi wa Simba kubainisha kuwa tayari walishafikia makubaliano ya kuhuisha mkataba wake.

Ndemla anadaiwa kunyemelewa na klabu ya Yanga.

Lakini kuonekana kwake mazoezini jana kumewaondoa hofu Wana Msimbazi kwani huenda kiungo huyo akaendelea kubaki katika klabu ya Simba.

Simba imedhamiria kuimarisha safu yake ya kiungo ambapo inaelezwa imeanza mazungumzo na klabu ya Mtibwa Sugar ikitaka kumsajili Hassani Dilunga.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
3h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
7h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
13h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’