Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa klabu ya Simba Ismail Aden Rage licha ya kuhusishwa kutaka kurejea kuiongoza klabu hiyo, mwenyewe amesema hafikirii kurejea tena kwenye uongozi wa Simba.
Rage aliondoka katika uongozi wa Simba mwaka 2014 baada ya uchaguzi uliomuweka madarakani Evans Aveva.
"Mimi ni mwanachama na kwa sasa sina mpango tena ya kugombea nafasi ya Urais," Rage ameiambia EFM.
"Muda wangu umemalizika na nawatakia kheri Simba kuelekea uchaguzi mkuu wa klabu."
Simba inatarajiwa kufanya uchaguzi Mkuu mwezi ujao.

ADVERTISE HERE