TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Klabu ya Simba kesho itakuwa na mkutano na wanahabari kwenye makao makuu yake Mtaa wa Msimbazi, jijini Dar Es Salaam.
Mkutano huo wa tarehe 28/6/2018 utaanza saa sita mchana na utakuwa na mambo mahusi kwa ajili ya Timu na maendeleo ya klabu kwa ujumla.
IMETOLEWA NA
HAJI S MANARA
MKUU WA HABARI
SIMBA SC.

ADVERTISE HERE