Djuma asifu usajili wa Kagere

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
28 Jun 2018
Djuma asifu usajili wa Kagere
Kaimu Kocha Mkuu wa Simba Masudi Djuma amesifu ujio wa Medie Kagere, mshambuliaji mpya wa timu hiyo aliyesajiliwa jana kutoka klabu ya Gor Mahia.

Djuma amesema Kagere ni mchezaji mzoefu ataimarisha safu ya ushambuliaji ya Simba na ataisaidia sana timu hiyo kwenye michuano ya Kimataifa.

"Kagere ni mchezaji mzuri, nimefurahi tumefanikiwa kumsajili kwani atatusaidia sana kwenye ligi na michuano ya Kimataifa".

Simba imeendelea na mazoezi ya kujiandaa na michuano ya kombe la Kagame itakayoanza keshokutwa jijini Dar es salaam.

Mazoezi hayo yanayoongozwa na Djuma yanafanyika kwenye uwanja wa Boko Veterans jijini Dar es salaam.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
5h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
17h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
23h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’