Mlinzi wa zamani wa Azam FC Paschal Serge Wawa na Mnigeria Victor Patrick ambaye naye anacheza nafasi ya ulinzi, wameendelea kunogesha mazoezi ya Simba inayojiandaa na michuano ya kombe la Kagame inayoanza mwishoni mwa wiki.
Wawili hao bado hawajasajiliwa na huenda wakajumuishwa kwenye kikosi cha Simba kitakachoshiriki michuano ya Kagame ili kujiridhisha na uwezo wao.

Simba imedhamiria kusajili mlinzi wa kati kukiwa na tetesi kuwa itaachana na Mganda Juuko Murshid.
Simba itacheza mchezo wake wa kwanza wa michuano ya kombe la Kagame Jumapili Juni 30 kwenye uwanja wa Taifa dhidi ya Dakadaha ya Somalia

ADVERTISE HERE