Mlinda lango namba moja wa Simba na timu ya Taifa ya Tanzania Aishi Manula itabidi aandae chumba maalum cha kuweka tuzo zake lukuki.
Katika kipindi cha misimu mitatu iliyopita, Manula amedhihirisha kuwa hana mpinzani hapa Tanzania kwa ubora.
Hilo linathibitishwa na idadi ya tuzo alizotwaa.

Manula ameibuka kuwa kipa bora wa VPL kwa misimu miwili mfululizo huku msimu huu akitwaa tuzo kama hiyo iliyotolewa na mwekezaji wa Simba kupitia tuzo za Mo Simba Awards 2018.

ADVERTISE HERE