Kagere mbioni kusajiliwa Simba, kuna Mnigeria anajaribiwa

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
26 Jun 2018
Kagere mbioni kusajiliwa Simba, kuna Mnigeria anajaribiwa
Jana jioni mtandao wa Mwanaspoti ulifichua kutua kimyakimya kwa mshambuliaji wa Gor Mahia Meddy Kagere ambaye yuko kwenye mazungumzo na Simba akiwa mbioni kusajiliwa.

Mmoja wa maafisa wa klabu ya Gor Mahia Jolawi Obondo amethibitisha juu ya kusafiri kwa mchezaji huyo ambapo anasema aliomba ruhusa juzi Jumapili ili aende Rwanda kushughulikia paspoti yake iliyokuwa inamaliza muda wake.

Mkataba wa Kagere wa kuitumikia Gor Mahia unamalizika mwezi ujao na inaelezwa alikuwa tayari amefikia makubaliano ya kubaki katika klabu hiyo lakini alikuwa bado hajasaini mkataba mpya.

Mbali na Kagere, Simba imemleta Straika mwingine kutoka Nigeria, Victor Patrick ambaye atatumika kwenye michuano ya kombe la Kagame kama sehemu ya majaribio yake.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
29m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
22h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’