TFF yaanza mafunzo ya matumizi ya mfumo mpya wa usajili leo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
25 Jun 2018
TFF yaanza mafunzo ya matumizi ya mfumo mpya wa usajili leo
Dirisha la usajili Tanzania lilifunguliwa Juni 15,2018 na litafungwa July 26,2018 kwa kutumia mfumo mpya wa usajili unaotambulika kama TFF FIFA CONNECT.

Baada ya Dirisha kufungwa kutakuwa na wiki moja ya pingamizi kuanzia July 27,2018 ikifuatiwa na Kamati ya Katiba, Sheria na Hadhi za Wachezaji kukaa kupitisha usajili.

Kuanzia leo Juni 25, TFF imeanza kutoa mafunzo ya mfumo mpya wa usajili kwa klabu za Ligi Kuu, Daraja la Kwanza na Daraja la Pili.

Mafunzo hayo yanafanyika Makao Makuu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) jijini Dar es salaam.

Mafunzo hayo yatafikia tamati Jumatano Juni 27,2018

TFF imezitaka timu zote kuhakikisha zinahudhuria mafunzo hayo kwani hakutakuwa na nafasi nyingine ya mafunzo baadae.

Mafunzo hayo yatafanyika kwa siku moja kwa kila Ligi yakianza na klabu za Ligi kuu leo Juni 25,2018
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
12h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
18h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
21h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’