Kikosi cha Simba leo kimeendelea na mazoezi kujiandaa na michuano ya kombe la Kagame inayotarajiwa kuanza mwishoni mwa wiki hii jijini Dar es salaam.
Miongoni mwa wachezaji waliohudhuria mazoezi hayo yaliyofanyika kwenye uwanja wa Boko Veterans ni beki Serge Wawa aliyewahi kuichezea Azam FC.
Wawa anatarajiwa kusaini mkataba wa kuichezea Simba lakini Kaimu Kocha Mkuu wa Simba Masudi Djuma ametaka kujiridhisha na uwezo wake kabla hajasainiwa.

ADVERTISE HERE