Beki wa zamani wa Azam FC Serge Wawa yuko nchini tangu juzi ambapo jana jioni alihudhuria mazoezi ya Simba yanayofanyika kwenye uwanja White Sand jijini Dar es salaam.
Wawa ni mchezaji huru baada ya mkataba wake na El Mareikh kumalizika.
Beki huyo raia wa Ivory coast yuko mbioni kusajiliwa na mabingwa wa Tanzania Bara Simba ili kuongeza nguvu kwenye safu ya ulinzi.

ADVERTISE HERE