Simba yatoa watano kikosi bora cha VPL

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
24 Jun 2018
Simba yatoa watano kikosi bora cha VPL
Aishi Manula, Erasto Nyoni, Shiza Kichuya, John Bocco na Emanuel Okwi wameweza kuingia kwenye kikosi bora cha ligi kuu ya Vodacom msimu uliopita.

Washindi wa tuzo za ligi kuu msimu uliopita wametangazwa leo Juni 23 2018 Mlimani City jijini Dar es salaam.

KIKOSI KAMILI

1.Aishi Manula
2.Hassan Kessy
3.Shafiq Batambuze
4.Erasto Nyoni
5.Kelvin Yondan
6.Papy Tshishimbi
7.Shiza Kichuya
8.Tafadzwa Kutinyu
9.John Bocco
10.Emmanuel Okwi
11.Marcel Kaheza

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
7h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
11h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
17h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’