Aishi Manula kipa bora, tuzo VPL

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
24 Jun 2018
Aishi Manula kipa bora, tuzo VPL
Hafla ya utolewaji wa tuzo la ligi kuu ya Vodacom msimu wa 2017/18 zimefanyika leo Juni 23 2018 Mlimani City jijini Dar es salaam.

Mlinda lango namba moja wa Simba Aishi Manula ameibuka kuwa mlinda lango bora kwa msimu wa pili mfululizo.

Manula alitwaa tuzo hiyo msimu uliopita akiwa na klabu ya Azam FC.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk Harrison Mwakyembe alikuwa mgeni rasmi katika hafla hiyo iliandaliwa na Wadhamini wa ligi Kuu kampuni ya Vodacom kwa kushirikiana na TFF.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
12h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
18h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
21h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’