Simba yaanza maandalizi ya kombe la Kagame

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
23 Jun 2018
Simba yaanza maandalizi ya kombe la Kagame
Mabingwa wa soka Tanzania Bara, Simba leo wameanza mazoezi kwenye uwanja wa White Sands jijini Dar es salaam kujiandaa na mashindano kombe la Kagame yatakayofanyika jijini Dar es salaam kuanzia wiki ijayo.

Mchezo wa kwanza wa Simba utapigwa kwenye uwanja wa Taifa Juni 30 dhidi ya Dakadaha.

Baadhi ya nyota waliokosa michuano ya SportPesa wanatarajia kuwemo kwenye kikosi cha Simba ambacho pia huenda kikajumuisha wachezaji wa kikosi cha pili.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
4h ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
18h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
22h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
2d ago
READ MORE β†’