Kiungo Said Khamis Ndemla amekubali kubaki Msimbazi baada ya kufanya mazungumzo na Bilionea Mohammed Dewji 'Mo', mwekezaji wa klabu hiyo.
Ndemla alikuwa akihusishwa kusajiliwa na Yanga baada ya mazungumzo ya awali aliyofanya na uongozi wa Simba kuvunjika.
Mwenyewe alikiri kufuatwa na viongozi wa Yanga waliokuwa tayari kutimiza mahitaji yake ili wamsajili.
Mvutano mkubwa ulikuwa kwenye dau la usajili na kuhakikishiwa nafasi ya kucheza.
Lakini mmoja wa viongozi wa Simba ambaye yuko kwenye Kamati ya usajili ya timu hiyo amesema wameshamalizana na Ndemla na atasaini mkataba wa miaka miwili

ADVERTISE HERE