Mo kumaliza ujenzi wa uwanja wa Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
21 Jun 2018
Mo kumaliza ujenzi wa uwanja wa Simba
Mwekezaji wa Simba Mohammed Dewji amedhamiria kumalizia ujenzi wa uwanja wa klabu hiyo ulioko Bunju jijini Dar es salaam.

Uwanja huo utaanza kufanyiwa ujenzi ndani ya mwaka huu na unategemewa kutumika katika msimu wa 2019/2020 kwa ajili ya michezo ya timu hiyo.

Katika sehemu ya uwanja kutakuwa na hosteli kwa ajili ya wachezaji, Gym ya mazoezi pamoja na `canteen` kwa ajiri ya chakula cha wachezaji.

Mo amedhamiri kuijenga Simba ya Kimataifa zaidi, kazi hiyo tayari ameanza kuifanya kwa kushirikiana na viongozi wa Simba
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
11h ago
READ MORE β†’
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
11h ago
READ MORE β†’
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
14h ago
READ MORE β†’
Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
20h ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
1d ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
1d ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1d ago
READ MORE β†’