Yanayojiri Urusi : Morocco, Misri zaondoshwa mapema

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
20 Jun 2018
Yanayojiri Urusi : Morocco, Misri zaondoshwa mapema
Morocco imeungana na Misri kuwa timu za kwanza kuaga michuano ya kombe la dunia baada ya kulazwa bao 1-0 na Ureno.

Cristiano Ronaldo aliifungia Ureno bao la ushindi, likiwa ni bao lake la nne kwenye michuano hiyo.

Jana Misri ilichapwa mabao 3-1 na Urusi.

Ni muujiza pekee utakaoibakisha Misri kwenye michuano hiyo.

Misri inaweza kusubiri hatma yake hadi raundi ya tatu kama Saudi Arabia itaifunga Uruguay leo.

Mpaka sasa ni Senegal pekee iliyoshinda miongoni mwa timu kutoka Afrika ambapo jana iliichapa Poland mabao 2-1 na kuongoza kundi G ikiwa na alama tatu sawa na Japan.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
29m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
22h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’