Nakumatt ya Kenya yamuwania Kitandu

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
21 Jun 2018
Nakumatt ya Kenya yamuwania Kitandu
Mshambuliaji chipukizi wa Simba Moses Kitandu ambaye alipandishwa kutoka kikosi cha pili, ameivutia klabu ya Nakumatt ya Kenya.

Kulingana na mtandao wa SalehJembe, Nakumatt imeweka bayana kuwa inataka kumsajili kinda huyo.

Mwenyewe amesema yuko tayari kujiunga na timu hiyo lakini ni muhimu wafuate taratibu.

Ò€œNi kweli kuna timu kutoka Kenya ambayo ni Nakumatt imeonyesha nia ya kunihitaji nijiunge nayo, nitafanya hivyo endapo tu watafuata utaratibu kwa kuongea na viongozi wangu wa Simba kwani kwa sasa nipo kwenye mazungumzo na klabu yangu baada ya mkataba kumalizika.

Ò€œMbali na hiyo, kuna timu zingine zinazoshiriki ligi kuu ambazo ni Singida United, KMC na Coastal Union ambazo nazo pia zinanihitaji, kikubwa ninachoangalia ni maslahi yangu pamoja na ruhusa kutoka timu yangu ya Simba,Ò€ alisema Kitandu.

Kitandu aling'ara na kikosi cha Simba kwenye michuano ya SportPesa Super Cup iliyofanyika Nakuru nchini Kenya.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
12m ago
READ MORE β†’
Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
15h ago
READ MORE β†’
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
15h ago
READ MORE β†’
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
18h ago
READ MORE β†’
Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
1d ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
1d ago
READ MORE β†’