Mshambuliaji chipukizi wa Simba Moses Kitandu ambaye alipandishwa kutoka kikosi cha pili, ameivutia klabu ya Nakumatt ya Kenya.
Kulingana na mtandao wa SalehJembe, Nakumatt imeweka bayana kuwa inataka kumsajili kinda huyo.
Mwenyewe amesema yuko tayari kujiunga na timu hiyo lakini ni muhimu wafuate taratibu.
Γ’β¬ΕNi kweli kuna timu kutoka Kenya ambayo ni Nakumatt imeonyesha nia ya kunihitaji nijiunge nayo, nitafanya hivyo endapo tu watafuata utaratibu kwa kuongea na viongozi wangu wa Simba kwani kwa sasa nipo kwenye mazungumzo na klabu yangu baada ya mkataba kumalizika.
Γ’β¬ΕMbali na hiyo, kuna timu zingine zinazoshiriki ligi kuu ambazo ni Singida United, KMC na Coastal Union ambazo nazo pia zinanihitaji, kikubwa ninachoangalia ni maslahi yangu pamoja na ruhusa kutoka timu yangu ya Simba,Γ’β¬Β alisema Kitandu.
Kitandu aling'ara na kikosi cha Simba kwenye michuano ya SportPesa Super Cup iliyofanyika Nakuru nchini Kenya.

ADVERTISE HERE