Simba yamfungia 'vioo' Liuzio

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
•
20 Jun 2018
Simba yamfungia 'vioo' Liuzio
Mshambuliaji Juma Liuzio alitua Simba kwa mkopo kutoka klabu ya ZESCO ya Zambia msimu wa 2016/17 kabla ya kusaini mkataba wa mwaka mmoja kuitumikia timu hio msimu uliopita.

Mkataba wa mshambuliaji huyo na Simba umemalizika na mabingwa hao wa Tanzania Bara wameonyesha kutokuwa na mpango nae.

Liuzio ambaye usajili wake Simba ulipendekezwa na kocha wa zamani wa timu hiyo Joseph Omog, amesema tayari kuna timu zimeonyesha nia ya kutaka kumsajili.

Mshambuliaji huyo pia amedai kuwa na mipango ya kwenda nje ya Tanzania kusakata kabumbu, akibainisha kazi ya kutafuta timu ikiendelea kufanywa na wakala wake.

“Kweli nilipokea ofa kadhaa lakini sijataka kukimbilia kusaini mapema. Nimezungumza na watu wangu wa karibu wameniambia kwamba nisubiri nisiwe na haraka hata kidogo kusaini timu ya nyumbani,” amesema Liuzio

“Yupo wakala wangu anayenitafutia timu nje. Bado sijapata lakini hata kama ikitokea nimesaini hapa nyumbani katika mkataba wangu nitaomba kuwe na kipengele cha kuondoka muda wowote"
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
8m ago
READ MORE →
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE →
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE →
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE →
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE →
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE →
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE →
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE →
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE →
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE →