Aishi Manula aenda mapumziko Morogoro

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
20 Jun 2018
Aishi Manula aenda mapumziko Morogoro
Kipa namba moja wa Simba, Aishi Manula huenda asitumike kwenye michuano ya kombe la Kagame inayoanza wiki ijayo jijini Dar es salaam.

Manula kwa sasa yuko mapumziko na familia yake mkoani Morogoro wakati Simba ikitarajia kuanza maandalizi ya michuano ya Kagame keshokutwa Ijumaa.

Manula ni miongoni mwa wachezaji waliocheza michezo mingi kwenye kikosi cha Simba msimu uliomaliza.

Kuna taarifa kuwa Simba imedhamiria kutumia wachezaji wachache wa kikosi cha kwanza kwenye michuano hiyo ili kuwapa nafasi wachezaji wapya na wale waliocheza michezo michache.

Ni kawaida kwa vilabu kuwapa mapumziko wachezaji wanaotumika sana kwani hali hiyo inaweza kuathiri afya zao wanapoumia kutopona kwa haraka majeraha yao.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
9h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
15h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
18h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
22h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’