Mzamiru aahidi makubwa

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
26 Sep 2017
Mzamiru aahidi makubwa
Kiungo fundi asiyechoka Mzamiru Yassini amefurahi kuaminiwa na benchi la Ufundi na ameahidi kuendelea kujituma kuhakikisha anaisaidia timu kila anapopewa nafasi.

Mzamiru akiwa kwenye msimu wa pili na kikosi cha Simba, ni miongoni mwa wachezaji ambao wamejihakikishia namba kwemye kikosi cha kwanza cha kocha Joseph Omog.

"Nashukuru Kocha Joseph Omog pamoja na Jackson Mayanja kwa kuniamini, hii imenipa hatua moja mbele na kujituma kuona mchango wangu unaonekana katika timu," amefunguka Mzamiru.

Mzamiru ni miongoni mwa wachezaji walioitwa na kocha wa timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars', Salum Mayanga kuunda kikosi kitakachocheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Malawi, Oktoba 07.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
6h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
12h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
15h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’