Stand United, Mtibwa Sugar kucheza fainali Uhai Cup

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
20 Jun 2018
Stand United, Mtibwa Sugar kucheza fainali Uhai Cup
Simba, mabingwa watetezi wa michuano ya Uhai wametolewa baada ya kupoteza mchezo wa nusu fainali kwa kufungwa bao 1-0 na Mtibwa Sugar.

Mchezo huo uliopigwa kwenye viwanja vya Chuo Kikuu cha Dodoma ulilazimika kwenda muda wa ziada baada ya timu zote kutofungana kwenye dakika 90.

Mtibwa Sugar ilifunga bao la ushindi kwenye dakika ya 117

Nayo Stand United imefanikiwa kutinga fainali baada ya kuilaza Azam FC kwa bao 1-0.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
5m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’