Djuma apuuza tetesi za kutakiwa na Rayon Sports

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
19 Jun 2018
Djuma apuuza tetesi za kutakiwa na Rayon Sports
Kocha Msaidizi wa Simba Masudi Djuma amepuuza tetesi zinazomuhusisha kurejea katika klabu yake ya zamani ya Rayon Sports.

Djuma ambaye alirudi Rwanda kwa mapumziko baada ya kumalizika kwa michuano ya SportPesa Super Cup, anatarajiwa kurudi keshokutwa Alhamisi kuanza maandalizi ya michuano ya kombe la Kagame.

"Hakuna ukweli wowote juu ya taarufa hiyo ndugu yangu," amesema Djuma.

"Mimi niko likizo, nitarudi Tanzania Alhamisi kwani tunategemea kuanza maandalizi ya michuano ya kombe la Kagame Ijumaa"

Hivi karibuni Rayon Sports ilitimua benchi lake lote la ufundi pamoja na kipa mkongwe, ambaye ni nahodha wa timu hiyo Eric Ndayishimiye kwa tuhuma za usaliti.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
10h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
16h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
19h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
23h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’